Kigoda Cha Taaluma Cha Mwalimu Nyerere-Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
kinaandaa Vice Chancellor's Palaver tarehe 9 Desemba 2010 (Siku tuliyopata
Uhuru Wetu). Mbongi huu utafanyika katika ukumbi wa Nkrumah hapa UDSM
kuanzia saa 3:30 asubuhi mpaka saa 8:50 mchana. Na utakuwa katika lugha ya
Kiswahili.

Mada ya Mbongi ni: 'Uhuru una maana gani kwangu: mtazamo wa vijana'

Tutakuwa na uzinduzi wa kitabu cha Cheche: Reminiscences of a Radical
magazine Pia hotuba za Mwalimu zitaoneshwa na filamu ya Tamasha la Pili la
Kitaaluma la Mwalimu Nyerere.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbongi ni nini na ni lugha gani?

    ReplyDelete
  2. Hiyo lugha ya mtaani. wengine huita MBINJI. Maana yake usingizi

    ReplyDelete
  3. kwa kiswahili ungeandikaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...