Tiketi zinapatikana katika sehemu zifuatazo:

Duka la Truworth - Mlimani City
Ofisi za Magazeti ya Global Publishers - Sinza
Chomageni - Mbezi
Hoteli ya Giraffe Ocean View - Kunduchi

Na siku ya shoo tiketi zitauzwa mlangoni.

VIP ni tsh. 30,000/- na tsh. Kawaida ni 20,000/-

Nyoote mnakaribishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...