Masupa modo wastaafu wakiwasili kwenye hafla ya kuchangia yatima ya Red Ribbon iliyoandaliwa na Tanzania Mitindo House usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Double Tree hotel jijini Dar. Jumla ya shilingi milioni 24 zilichangwe kwenye hafla hiyo iliyofana sana na kupambwa na fashion show kabambe.
Jide na balozi wa TMH supa modo
Flaviana Matata wakiwa meza kuu

Khadija Mwanamboka (kati) na MC Taji Liundi (shoto)
wakiwa na mamodo na wabunifu
Flaviana Matata akinadi baadhi ya vitu
vilivyosaidia kuchangisha pesa kwa yatima.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankali ulipendeza sana na mamsap. Safi sana kijana.

    ReplyDelete
  2. Tumemwona shem, we endelea kumficha mana vijana wa mujini wanaweza kukupiga bao la kisigino. Hongera muheshimiwa kwa kuwa na jiko dogo-dogo, after all nani anataka jiko kuu-kuu lililochakaa?

    ReplyDelete
  3. Mgeni toka Botswana...lol. Ankal hujatulia

    ReplyDelete
  4. Flaviana jaribu kula minofu kidogo, mwili wako unaanza kutisha ona picha ya mwisho unavyoonekana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...