Masupa modo wastaafu wakiwasili kwenye hafla ya kuchangia yatima ya Red Ribbon iliyoandaliwa na Tanzania Mitindo House usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Double Tree hotel jijini Dar. Jumla ya shilingi milioni 24 zilichangwe kwenye hafla hiyo iliyofana sana na kupambwa na fashion show kabambe.
Jide na balozi wa TMH supa modo Flaviana Matata wakiwa meza kuu
wakiwa na mamodo na wabunifu
vilivyosaidia kuchangisha pesa kwa yatima.




Ankali ulipendeza sana na mamsap. Safi sana kijana.
ReplyDeleteTumemwona shem, we endelea kumficha mana vijana wa mujini wanaweza kukupiga bao la kisigino. Hongera muheshimiwa kwa kuwa na jiko dogo-dogo, after all nani anataka jiko kuu-kuu lililochakaa?
ReplyDeleteMgeni toka Botswana...lol. Ankal hujatulia
ReplyDeleteFlaviana jaribu kula minofu kidogo, mwili wako unaanza kutisha ona picha ya mwisho unavyoonekana!
ReplyDelete