Job Title: Office Management Secretary/Receptionist – C&F Kurasini-Dar Es Salaam Tanzania

Requirements: A certificate or its equivalent in Office & Front desk management from a recognized institution.

Job Description: Attend to visitors and deal with inquiries on the phone and face to face. Provision of Office requirements. Age Not older than 24yrs. Fluent in both English & Kiswahili.

Apply Online through the email address; info@peacelogisticstz.com CC. adbipa2@yahoo.com Only CV & Cover letter are required.

Closing Date: 25/Dec/2010

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. All i can say is age discrimination is illegal in hiring and this company should be disciplined

    ReplyDelete
  2. I smell some kinda age discrimination, the company need to be sued for this coz its against the constitution to discriminate employment based on age not qualification and experiences.
    24 yrs and younger they are still in college and they don't have any experience for this kind of job.
    Sorry you need to modify this.

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa hawajui diversity. Wanabagua watu kwa umri. Hapa U.S. wangepelekwa mahakamani na kuwalipa fidia watu wenye umri zaidi ya miaka 24 ambao waliomba kazi. Tanzania bado kuna safari ndefu sana kufikia haki na usawa.

    ReplyDelete
  4. I also find the ad offensive. Why do they only want someone who is 24years or below? Are there some ulterior motives here? Will people be offended if they face someone over 24?

    ReplyDelete
  5. Dada Chemi,

    Wengi hawafahamu ya kwamba Katiba ya Tanzania inapinga kutoa ajira kwa ubaguzi wa aina yoyote. Sehemu ya Tatu ya katiba, Sheria Na 15 ib. 6 inasema "4) Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au
    mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria
    yoyote au katika utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya
    Mamlaka ya Nchi"


    Hivyo tangazo hili limekiuka misingi ya kikatiba.

    Mdau wa KwaObama

    ReplyDelete
  6. To sister Chemi!
    Even here in the U.S., with all laws in the books, we still see this kind of social evil done to people. I remember this older black lady who worked for Air Tran as an hostess (in-flight) who was told to resign. We always see people greeters at Wal-Mart are older folks. We just witnessed yesterday the repeal of DADT policy. The U.S., society is not perfect either besides all the laws in place.

    ReplyDelete
  7. Job opportunity or job opportunite? Hata google dictionary yangu inanipa suggestions...aibu!

    ReplyDelete
  8. Jamani Tanzania hata matangazo mengi ya Serikali miaka michache iliyopita yalikuwa yakibagua kwa umri kama hivi -- wazi kabisa. Ukiwa zaidi ya miaka 30 ni kama matangazo mengi ya kazi yanakunyima nafasi hata ya kuweka maombi yako.

    Wasichofikiria watanzania wengi wanaokubaliana na ubaguzi wa kipumbavu namna hii, ukianza kazi na miaka 23, 24 una miaka sita au saba tu kabla na wewe hujaingia kwenye hiyo orodha ya wanaobaguliwa rasmi kabisa -- in case ukitakiwa kuomba pengine.

    Hizi ni opportunity nzuri sana kwa WANASHERIA: ADVOCATES/LAWYERS/ATTORNEYS or whatever you call yourselves, kupigania na kupata pesa nzuri kwao na kwa wanaowawakilisha -- hizi kesi ni rahisi sana kuzishinda. Mchezo ndivyo ulivyo hapa Marekani na kwingineko kwa walioamka tayari.

    ReplyDelete
  9. Hapo wameona aibu tu kusema wanataka wasichana wa umri huo. wapi umeshaona receptionist wanaume? Au wakina mama? Wanataka wasichana wadogo wanaoanza maisha ili wa wabuse kwenye mishahara na hata kimapenzi. Kwani akiwa receptionist mwenye umri huo na experience wanayotaka obvious atakuwa ni form four leaver aliyeanza kazi mapema kwa hiyo utakachomwambia ni hewala boss, utakachompa ni hewala boss.

    Mdau Tandale uwanja wa fisi

    ReplyDelete
  10. mimi ofisi yangu nimeajiri wakina mama wa umri kati aya 40 -45 no problems.

    ReplyDelete
  11. Ndio maana Tanzania watu hawakui...Yaani nikiingia Facebook watu nilisoma nao walikua wakubwa kwangu ati leo wameeka kabisa age zao five years younger than me...Agrrrrr sababu ni hii hii...Ukisema ukweli umri wako kazi huna...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...