
Mfalme Mswati III wa Swaziland

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wanaume wanashindwa kutuelewa kwa ajili ya mambo kama haya. Tunaolewa kwa ajili ya vitu au
ReplyDeletemmmmmh! vitu hivyo ni vya kula bila kumenya! aiseeeh!
ReplyDeleteSiamini michuzi umeweka picha hii kwenye blog yako.
ReplyDeletedah! mimi naomba contact za huyo dada wa mwisho kutoka kulia, kama mswati atamuacha basi mimi niko tayari kuchukua jumla jumla
ReplyDeleteNasubiri tu comment za kina nanihino nichekeee!!!
ReplyDeleteNimeupenda sana huu utamaduni natamani ungekuwa africa nzima, hivi wale wamama wanoko wanajidai wana maadili wanachonga tukivaa vimini, je tungekuwa tunajiachia namna hii?? mtajiju kama we ni sanamu la michelin nenda gym uwe kipotabo, namna hii unafaa kwa matumizi ya binadamu.
ReplyDeleteNingekuwa mimi ni Mswati III ningemchagua huyo wa tatu toka kulia, yuko bomba kichizi.
ReplyDeleteAnkal umeharibu saumu yangu.
ReplyDelete(US Blogger)
hawa si wazinzi. wengine ni wasomi humo.
ReplyDeleteni bora kuliko umiss ulotokea magharibi
ReplyDeleteWewe unayesema hawa si wazinzi, wengine ni wasomi una maana ipi? Uzinzi na usomi vinahusiana vipi? Uzinzi ni tabia ya kibinadamu bila kujali elimu ya mtu. Nenda pale UD Hill campus(Chuo Kikuu Cha Dar) alafu uliza kuna ma professor wangapi pale ni wazinzi alafu njoo hapa kwenye blog utoe jibu.
ReplyDeleteWOTE HAO NI BIKRA. HAKUNA AMBAE KAGUSWA KWA TAARIFA YENU.
ReplyDeletewengine wakisha olewa wanaanza kutembea na wanaume wengine. mbona hao wake zake wanatembea na watu wengine. hivi majuzi huyo king akiwa abroad mke wake mmoja alikutwa na one of his ministers. hii si mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea.
ReplyDeleteanonn wa Mon Dec 06, 10:07:00 PM, whats your point? so what kama wote ni bikira?
ReplyDeletewatu wenye mentality kama ya anon wa Mon Dec 06, 11:07:00 PM wanasikitisha sana. Yaani tu kwa kuwa mmoja wa wake wa huyu mfalme amefumaniwa basi conclusion yake ni kuwa wengi wao wakishaolewa hutembea na wanaume wengine.
ReplyDeleteHivi ni sawa na kusema kwa kuwa katika hoteli za kigeni zanzibar pamejaa malaya wa kibara basi wanawake wote wakibara ni malaya. Acheni ku-generalise watu bwana!!!!
hawa wapuuzi wanatunza bikira zao ili zitolewe na mswati.Mtaani wanabania
ReplyDeletehang on hang on! this occasion is not for the king to choose a wife but a day when virgin girls celebrate their virginity and pay homage to the queen mother. The king sometimes choose a wife but the purpose of whole occasion is NOT for the king to choose a wife.
ReplyDeleteASTAKAFULA WALAHI!! Hivi inakuwaje kupata glini kadi za Swazi? Nataka nikajikomboe mimi kwenye chagulaga.
ReplyDeletewapili kushot ni mtamu sana nyie mnaosema wengine macho yenu mabovu
ReplyDeletehuo unyanyasaji wa kijinisia
ReplyDeletewananume wote mnaotaka kuhamia swazi naomba niwajulishe ni moja ya nchi inayoongoza kwa ngoma haya kimbilieni uko na vidude venu vimesimama mtalijua jiji hahahaa ankali usibanie tafadhali
ReplyDeleteHakuna unyanyasaji kwani wametaka wenyewe kutunguliwe na king ndio wape pesa'mali na masifa juu. kama ni mwanamke anayejiheshimu anataka kufanya kazi na kuishi kwa uwezo wake bila kupenda tamaa za maisha ya juu. basi hana haya ya kusubiri huu upuuzi. wengi wao hata bongo wanawake wapenda mteremko na uvivu juu hawataki kazi. kila siku kula ma-hotel ndio wanataka kupika au responsiblity za ndoa hawazijui ila ndoa wanataka sana Eti kuondoa nuksi. Hapo ni uvivu. na tamaa za maisha ya juu via short cut
ReplyDeleteWanaosema huu utamaduni ni unyanyasaji mimi nipingana nao kwa sababu hawa wasichana hawalazimshwi kuja hpa. Wanakuja wenyewe ni uhuru wao.
ReplyDeleteMimi sioni jambo ya kujivunia zaidi ya ujinga. Mtazamo wa waliofinyu wanadhani huku mfalme anaweza kuwashulikia haja zao za kitandani. lakini na uhakika wa asilimia kubwa wengi wanakuwa wanachukuliwa na watu wa pembeni baada ya muda kupita. Nchi yake imejaa madini na style hii ndio aliyoandaliwa na nchi za magharibi aendle kustarehe na watamstarehesha ili waendelea kuinyonya nchi yake.
ReplyDeleteWe michuzi, hata matiti ni uchi pia. Yafiche!
ReplyDeletemmmm,mie namtaka huyo mwenye ziwa six okuloku mie mwenzenu gonjwa langu ziwa
ReplyDeleteHuyu Mswati ni Mtu wa aina gani, yeye kila mwanamke mzuri ataoa, je anataka kuwa kama akuku danger, aache historia ya kuwa na wanawake wengi? nadhani tamaa yake ni ngono ya kuonja tu na kuacha. wandugu hebu nisaidieni.
ReplyDeleteNi afadhali yeye anaoa hadharani kuliko nyie wanaume wa bongo mnaooa gizani wanawake wengi waliojulikana mnakuja kukwaa ngoma, mnaanza kusingizia wake zetu, kumbe nyie ndo mnaileta ndani> kumbu kila mwanamke unayelala naye kiblia ni mke wako. sasa jiulize umeoa wake wangapi mpaka kufikia hapo ulipo?
ReplyDeleteJamani watuma mada napenda niwaambie, someni neno la Mungu sana mtaona jinsi gani ulimwengu umekaribia kuisha, jiandaeni kwa ajili ya ufalme wa Mungu, acheni kucheza na Dunia hii ya dhambi, kila mtu aoe mke mmoja kama Mungu alivyoumba Adam akamuumba na Hawa wote wawili wakawa mwili mmoja.
ReplyDeleteENYI WATOA MAONI KILA MTU NA AWE NA MKE WAKE MWENYEWE, MSIMUIGE MSWATI KUOA WAKE WENGI NGOOOOOMA? OHOOHO. KAAAA CHONJO
ReplyDeleteMMjamani mm nitaoa wawili tu wannitosha na wote nitawaoenda
ReplyDeleteduh! kazi kweli kweli,maana naona wapili toka kushoto ndio bomba kuliko wote alafu naona watatu ndio bomba mara wa tano yaani nashindwa kuchagua.kama ningekuwa mswati ningebadilisha sheria niwe naoa wanne kwa mpigo kila mwaka badala ya mmoja.Kwa sheria ya sa hivi huyu jamaa anawakati mgumu,tena sana,yaani mmoja tu!!aiseee!!
ReplyDelete