Nairobi, 06.12.2010

East Africa crowned its newest Tusker Project Fame title holder last night in a spectacular grand finale show that featured performances from some of East Africa’s finest stars.

Davis from Uganda clinched the hotly contested title garnering more votes than Msechu, Steve and Amileena who were the other finalists. His story is one of perseverance and determination as he was sent back home during TPF 3’s gala show.

FOR MORE STORY AND PICTURE'S

CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Watanzania tunatakiwa kubadilika jamani, tuwe wazalendo kama wanavyofanya wenzetu wa nchi zingine, Msechu ameshindwa kunyakua hicho kitita kwa sababu tu kura hazijatosha kumfikisha hapo, Watanzania tuliowengi ni watazamaji tu lakini si wazalendo wa kujali kwamba nikituma hata kura yangu moja inaweza kumwezesha mtanzania mwenzangu kkushinda shindano hilo. Tunabaki tu kusikitika kwa mTZ kukosa nafasi hiyo lakini tumeshuhudia kupoteza nafasi nyingi na kuonekana kuwa wasindikizaji. Lakini kumbe tungemuwezesha mTZ nasi tungeonekana tuna vipaji vingi sana.

    ReplyDelete
  2. nimeiona show hiyo! Nilikuwa hata sijui, nimewasha Tv na kuona nikasema kulikoni,ngoja nishuhudie. It was fun watching this show after my long journey to Bongo.

    ReplyDelete
  3. Uganda rocks. Our own again Davis has made us proud.
    Thank you very much for all the support rendered to our Ugandan contestants since day one en may God bless all of you.

    ReplyDelete
  4. Tatizo sisi watanzania atuna imani na kura. Kwa jinsi hiyo, atupigi kura za madiwani, ubunge wala rais. Imani yetu katika kura ni kuchakuchuliwa chachuliwa tu. Tumeshajizoolea kuwa mashabiki na watazamaji. Wenye imani na kura moja inaweza badilisha matokeo, waacheni wawapigie washiriki wetu.

    ReplyDelete
  5. Hivi mbona mi sielewi hili shindano? Ina maana kama we mtanzania lazima umpigie mtanzania hata kama u don't feel amewazidi wenzake? Kwa design hiyo basi wale kutoka nchi kama Rwana na Sudan watakua na nafasi finyu sana, hata kama wata perfomu vizuri. Binafsi sijafurahishwa na hili jambo; mpaka TBC eti mpigiendi kura Mtanzania mwenzenu!! It's simply nonsense.

    ReplyDelete
  6. Uzalendo upo na chako ni chako,hata kama wa nchi nyingine angekuwa zaidi ya Msechu,dunia ndivyo ilivyo kila mtu anatetea chake,msechu ni wetu sifa yake sifa kwa taifa ndio maana hata TBC ilimpigia manyanga,mambo haya yakutojitambua na kutojidhamini ndio kwetu utakuta hata beach zetu unaweza kusikia beach ya uhindini beach ya uhindini ilifikaje bongo! haya yanakuja na huku kukosa kujithamini,kwanza tujithamini ndipo tutadhaminiwa

    ReplyDelete
  7. Kutuma msg ni pesa hali ya maisha ya watanzania wengi they cant afford msg for 500tshs, na pia Msechu apunguze sifa, misifa yake iliwaboa wengi ndio maana wengine alikuwa na nia ya kupiga kura lakini wakaboreka kutokana na tabia yake, kama ile nyimbo aliyoimba ni nyimbo nzuri sana angeimba kama ilivyo sio kuongeza lyrics zake za Juliana sijui unizalie watoto etc, anatakiwa awe seroius kwenye issue kama hiyo ili sisi tumpigie kura

    ReplyDelete
  8. wewe unayezungumzia kuwa msechu alikuwa na misifa huna lolote wivu tu unakusumbua! kwani asingemuimba juliana ungempigiaje kuwa wakati voting lines zilishafungwa? huna lolote kama unasubiri fainali ndio upige kura. kama huna hela tulia uangalie tu, usisingizie misifa wala nini.

    ReplyDelete
  9. jamani ni kweli Msechu alizidisha sifa na hivyo kienglish kilikuwa sifuri, ingawa nilimpigia kura, kingine kulikuwa na kakikundi chao hao kina msechu, davis na steve kama uliangalia wenyewe walikuwa wako poa sana ndo maana hata msechu aliimba na davis mwishoni. na msisahau jamani mchuano ulikuwa mkali sana maana wote wanajua kuimba....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...