I am Lulu Mero a Tanzanian girl. Wrote this book in two languages; English and Kiswahili. It is an interesting book, you are encouraged to read in your life time. The title takes over my philosophy of flotation. Which are; Life is all about floating because there is wavy, calm and deep water and God is our water surround. Thanks/Ahsante~
For More
CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. I dont know if you consider the cost of books LULU.. Your book seems interesting but its not a text book nor science book. The cost to print a book like your can't be more than 3 dollars. You are unknown writer and also trying to sell to Tanzanians who don't have purchasing power to shell out on $18.00

    Secondly , you shouldn't sale your ebook for that price.. Try $4.99 and also give options for people to purchase the book in TSHS.

    You seem out of place with this book thing.. Just like TK with her 99 dollars lotion.

    Dear, Tanzanians are not readers and if they were then we would have been far .. JARIBU KITABU CHA MAPENZI.. WATU HAWANA UGALI NA UMEME WEWE UNASEMA FLOATING LIFE..
    AHAAA

    ReplyDelete
  2. That girl is so intelligent, beautiful and she is real representing abroad her identity Tanzanian, for righting a book in two languages sio mchezo
    Watanzania embu tumsupport, ni msichana mdogo lakini mwenye malengo makubwa mno
    Mdau NY~

    ReplyDelete
  3. ofcourse lkn ni ghali mno, hicho si kitabu cha kiada kama alivyotangulia msemaji quote in TShs why USD in Tanzania jamani??!!!!

    ReplyDelete
  4. Mimi binafsi nampongeza huyu dada kwa uamuzi wake wa kuandika kitabu ambacho naweza kukiita ni "Inspirational" (Ingawa sijakisoma). Anaonekana ni makini na ambaye atafika mbali sana kimaendeleo.
    Hongera sana.

    ReplyDelete
  5. Ongera Dada Lulu,safi sana keep it up kazi nzuri sana,floating life is the best book.

    BR,
    Mo Ibrahim II

    ReplyDelete
  6. Acheni kumzingua dada wa watu. Kuandika hata booklet kwa lugha mbili sio mchezo. Kawaida wabongo tunapenda kuponda sana. Kama wewe husomi vitabu usifikiri kuwa wa
    bongo wote hawasomi? Pia don't think everyone has the same interests like yours. You haven't even read the book mnarukia tuu kucriticise. You can actually download the book in pdf for only £9.99 at http://www.lulu.com/spotlight/princesslumy.

    ReplyDelete
  7. Nimesoma comments
    Nimesikitika sana, but i am also thankful kwa walio elewa.
    Kusema kweli hiki ni kitabu changu cha kwanza, na campuni niliyo publishia ni ya kimarekani wao ndio walioweka gharama kubwa. Nimefanya juu chini kupunguza bei, na ningependa watu wote waweze kuaccess sijaandika kitabu kwaajili ya kupata hela, nimeandika kitabu ili watu wasomo. Maoni yawe ya kunielekeza ili niweze kufanikisha lengo ila sio kunilaumu as if nataka niwapore watu hela zao. Mdau apo juu umeniza sana kaka angu.
    kwa sasa bei nimepunguza na wala sihitaji revenue hiyo itakuwa gharama kamili ya publisher kutoa kitabu

    link ya kitabu sasa ni $8.50
    http://www.lulu.com/product/paperback/floating-life/13832276?productTrackingContext=product_view/recently_viewed/left/1

    link ya e-book sasa ni $4.99

    http://www.lulu.com/product/ebook/floating-life/13668101

    Ahsanteni
    Na nitaendele kujaribu kupunguza bei kama nikiweza kuuza vitabu 100, policy yao ni kulipia gharama za mwanza kwaajili hiki ndio toleo na kitabu changu cha kwanza
    Jamani nashukuru, na naomba support sio Lawama. I am also a student, and as said up there, is not easy to write a book in Dual/two languages
    Happy New Year 2011
    Yours,
    Lulu Mero (The Author)
    Approved, 31/12/2010
    Lm*

    ReplyDelete
  8. Hongera dada LUlu, na mimi natoka cha kwangu muda si mrefu zaidi kabla ya mwezi wa 5, 2011 ila mimi ni cha kiada.

    Ukweli ni kwamba si kweli kwamba watanzania hawapendi kusoma, Wanasoma sana, cha msingi ni kujua wanapenda wanasoma nini.

    Tatizo la watanzania wengi ni masikini, kwa hiyo hela ya kununua kitabu inaonekana kama ya anasa fulani wao wanapenda sana msaada.

    Ukiweka bei kubwa sana, inakula kwako.

    Ushauri, Kitabu chako kinaweza kuwa cha maana, umaana anaupima msomaji, ili kiwafikie watu na wewe lengo lako ni kusoma mawazo yako kadri ulivyoona yanafaa na si kibiashara zaidi, Tafuta shurika la Kidini, uwape hiyo habari ya kitabu chako maana inaonekana kinahusu mambo ya MUNGU "Floating life" wakiusaidie kulipa gharama za uchapishaji ili kiwafikie watu kwa gharama nafuu. Kwa kuwa uko huko ughaibuni unadhani Dola 8 ni ndogo, ikizi convert kwa pesa ya kibongo unapata karibu 11,000/ (8.50* 1400TSH = 11,900/=) Nauli ya kutoka Dodoma to Dar, Upo?

    Nani mganga njaa atakinunua. Huo lakini ni mtazamo wangu tu.
    Punguza BEI la sivyo watakisoma wabomgo wachache tu.

    ReplyDelete
  9. wengi mmeongea ya kweli hasa kuhusu gharama ya kitabu hiki ukifananisha na hali ya maisha ya hapa kwetu. lakini ukizingatia kwamba watu wanapenda sana kutumia mahela yao katika leisure(starehe) kuliko ku-msupport mtanzania mwenzao anayejaribu kutoka na kuinadi Tanzania katika nchi za wenzetu, hivi wangapi hawampendi mcheza kikapu HASHIM THABIT, alipoanza yeye watu si walimdharau...mimi binafsi nipo mbioni kukinunua hicho kitabu...na tena ukizingatia bei ameishusha itaniwia rahisi sana...lakini toka mwanzo nilikuwa nafanya juhudi ya kuwasiliana na huyu dada Lulu na mie nikipate hiki kitabu tena kwa bei ile ile ya zamani....

    Watanzania wenzangu kuandika kitabu si kazi rahisi, haswa katika lugha mbili (kiswahili na kiingereza), inahitaji kujituma. ukiangalia ma-kabati ya vitabu vya watu majumbani mwao vimejaa vitabu vya wazungu...akina Hadley Chase..sidney Sheron...na wachache sana wanavyo vya watanzania au wa east africa kama cha akina Eric Shigongo, a Tanzanian novelist. so ukiniambia watanzania hawependi kusoma si kweli, isipokuwa mind set yetu imetekwa na wazungu....

    Tumpe mgongo mdada huyu talented nayeye apande awafikie wazoefu, ukizingatia ni kijana kabisa, tumezoea kuwaona wazee katika fani za uandishi, hivyo ni mwanzo mzuri....na namsihi Lulu usikate tamaa....hawa wote ni wateja wako watarajiwa, wanachotaka ni ukweli tu kuhusu kitabu chako na ndio maana wanahoji....waeleze wataku-support.

    kwa wale ambao wako interested join me katika kukinunua hiki kitabu....wasiline naye katika facebook.com/lulu.pearl au lulumero@yahoo.com...nawatakieni wote heri ya mwaka mpya

    ni mimi mpenda maendeleo ya watanzania

    elias L. mziray

    ReplyDelete
  10. Nimekusoma ahsante ila jina sija kufahamu mtoa maoni wa Jana Jumamosi.
    Kitabu changu ni collection ya poems inayozungumzia maisha kwa ujumla sio mambo ya mungu.
    Na kuhusu bei najitahidi kupunguza ili watu waweze kukisoma, natafuta wafadhili niweze kudistribute mashuleni kwa wanafunzi bure umenipata.
    Kwa sasa unaweza download PDF format kwa $4.99
    hizi ni gharama za publisher. Natamani mngejua jinsi vitu marekani sio bei rahasi, i will look for possibilities of reducing prices each day
    now the link is
    http://www.lulu.com/spotlight/princesslumy

    ReplyDelete
  11. Acheni zogo yaani wabongo ndomana hamendelei, kwa style hii. Kwanza pole dada lulu naomba usilie mdogo wangu. Yaani sio ishu kabisa ya kumliza dogo ambaye hata miaka 20 hajafikisha, ameandika kitabu badala ya kumsupport mnaanza blaah blaah zenu za bei. Yaani kwanza ingetaki asaidiwe kabisa, kwaajili sio kazi ndogo. Yaani mijitu mizima Ovyoooooooo!
    Yaani watu na akili zao kama Elias,Mo Ibrahim ndo watu tunao wahitaji katika jamii, sio mambo ya kuchonga chonga kuhusu bei, wakati mtoto mwenyewe yuko NYC, jiji la kina Jayz etc, ofcourse bei ya kupublish itakuwa ghali, na mmemsikia mwenyewe hapo juu alivyo elezea, mpaka namwonea huruma huyu dada. Yani kweli kwanza ingekuwa mimi nisingehata angaika kuwapunguzia bei pambafuu zenu, watu mnakula sana bata, alafu inakuja mambo ya kitabu mnachongaaa, badala ya kumsupport na kadhalika.
    Yaani hilo duku duku langu
    mtu kama kweli unamjali huyu mshichana, na unataka kumwelimisha ongea nae taratibu lakini sio kumliza hapa kwenye blog ya jamii
    ana facebook Lulu Pearl, au email yake lulu_mero@yahoo.com
    Kueni basi na busara watu
    Ndo hilo tu Mdau India~

    ReplyDelete
  12. kila nikitembeleaa commnt za watu naona lawama nyingi sana mbona sisi wabongo hatupendi maendeleo hvi?halafu tunajifanya tunataka maendeleo kwa nchi yetu ikiwa haya maendeleo ya mtu alie nje ya nchi kwa kuitangaza tanzania kwa kutumia maandishi alivyojituma kuandaa kitu ambacho kina mafunzo hatutaki kumuunga mkono wapi tunakwenda jamani wabongo sisi namna hii hatufiki hata cku moja sio vizuri kukatishana tamaa haipendezi kwa kweli.mi nakuunga mkono dada lulu kazi nzuri endeleza libeneke namna hiyoo usichoke ndio challenge za maendeleo hizi.big up.mdau hyderabad

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...