Mhariri Mkuu wa Jambo Leo, Boniface Wambura (wa pili kushoto),ambaye ameteuliwa kuwa Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akikabidhiwa zawadi ya kompyuta ndogo iliyotolewa na uongozi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), wakati wa hafla ya kumuaga Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa JCTL, Juma Pinto, Meneja Mkuu, Ramadhani Kibanike, Mkurugenzi, Benny Kisaka na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Perfect Solutions, Evance Aveva ambaye ni Mshauri wa JCTL.
Mkurugenzi Mkuu wa JCTL, Juma Pinto akitoa
nasaha wakati wa hafla hiyo.

Mkurugenzi wa JCTL, Benny Kisaka akitoa
nasaha wakati wa hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kutoka mhariri mkuu hadi afisa habari, jamani mambo.

    ReplyDelete
  2. Gazeti limemsadia sana slaa kupata kura.tunakushukuru Wambura na Kisaka kutusaidia kwenye kampeni sisi Chadema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...