Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Ndugu Fadhili Manongi akiteta jambo na Waziri wa Uchukuzi,Mheshimiwa Omari Rashid Nundu katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga yaliyofanyika katika Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere.Picha na Benjamin Sawe-Maelezo

manongi ni wa kulia au kushoto?
ReplyDeleteMzee Nundu tunasubiri mshikemshike pale bandarini na TRA.
ReplyDelete