Hili ni Bonanza la Mazoezi ya viungo huku Zenj yatakayohitmishwa tarehe 1 Jan 2011. Leo hii kulikuwa na michezo mbali mbali katika viwanja vya nje vya uwanja wa Amaan stadium ikiwemo mechi za mpira wa Miguu, kuvuta kamba na kufukuza Kuku (kwa wanawake). Nakuletea taswira ya zoezi la kufukuza kuku na mshindi aliondoka na Kuku huyo kama zawadi yake. Picha zinaonyesha hatua mbali mbali za zoezi hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...