Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nadhani tunahitaji kuwa huru kwanza na katiba ambayo inamthamini kila mtanzania bila kujali alichonacho kwanza, uchaguzi halali, mahakama huru,bunge huru baada ya hapo labda tunaweza kufikia uwezekenaji wa uanadamu/uumbe wetu wote kama vile mola alivyotudhamiria!!siyo safari ndefu.
ReplyDeleteWengi wanawaponda FIFA kwa kuwachangua Qatar na Russia, achana na swala la rushwa linalowatuhumu wajumbe wa FIFA, ukweli ni kwamba nchi ambazo zimeshaandaa mashindano zina nafasi finyu sana, sana sana ya wawe back-up kwa nchi zilizoteuliwa kama hazijafanikiwa maandalizi yake kwa muda muafaka. UK na USA wamepiga kelele mno, lakini wao wameshandaa michuano hii, wakubali matokeo, ili nchi zingine bila kujali siasa zake waandae michuano.
ReplyDeleteSijui nyie mnasemaje? Maana kama Qatar kuna tatizo la haki za binadamu na wamekubali kujenga viwanja vipya na kuvibomoa na kuvileta Afrika, Russia ni soko jipya, pia wana matatizo ya haki za binadamu na rushwa, hamuoni ndio wakati muafaka wa kuonyesha hayo mambo nchini humo?
Tuachane na adha kuwa hapa duniani kuna nchi fualni fulani tu ndizo zinauwezo wa kuandaa hii michuano sababu ya maendeleo yao, hii michuano inapoandaliwa, miundo mbinu huwa inatengenezwa sana, biashara huwa zinafanyika mno na uhondo wa soka huwasahaulisha walalahoi matatizo yao angalau kwa mwezi.