Mnuso wa nguvu wa kumuaga mdau Yohanne Kaduma (kulia) iliyoandaliwa na wafanyakazi wa NBC corporte banking,yohane alikua head wa corporate banking wa NBC ambapo sasa anaenda kua MD wa CBA wikiendi ilopita.
Mdau Yohanne Kaduma akiwa na wadau
wa NBC Corporate banking
Mdau Yohanne Kaduma akiwa na mai waifu wake Marianne Kaduma wakiwa na Gerald Kamugisha kibosile wa transaction banking
"Ebwana tutakumisi kionma...." Kaduma akipiga stori na wadau
Mdau Chris Makyao nakuona hapo amigo...ha ha ha, shaaav hilo kakuachia mkuu huyo anayesepa...lol
ReplyDeletecaptain
Vodastar
Congratulations Yohanne this is great news mwenyezi mungu akujalie na kukuongoza katika majukumu yako mapya.
ReplyDeletehongera Yohanne! Rafiki zako wote walioamua kwenda mtoni bado wanabeba maboksi. Sijui mzee utawasaidiaje.
ReplyDeleteCongratulations!!!
ReplyDelete(US Blogger)
kamwene hongera
ReplyDeleteI am currently the Head of Financial Risk at CBA Kenya but even before I meet YK, I already see he is a loved man. Looking forward to a good working relationship with him within the Group!
ReplyDeleteCongrats bro!
mungu akubariki saaana ktk kazi yako mpya akuzidishie upendo na uhodari zaidi
ReplyDeleteNdg Chris Hongera na mungu akuongoze na akujalie kwenye majukumu hayo mapya
ReplyDelete