Kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Bi.Evarista kalalu akitosa salamu za ufunguzi wa Mkesha ulioandaliwa na umoja wa makanisa Tanzania

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Dk Mdegella akiendesha maombi maalum ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2011
Wananchi wakiwa katika mkesha
uwanja wa samora usiku huu

Shughuli za mkesha wa mwaka mpya Iringa
Dua ya kuomba heri ya mwaka mpya.
Picha zote na mdau mkuu wa Iringa Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nitafurahi ikiwa siku moja kutakuwa na mkesha wa nchi nzima wa kuomba mafisadi wapotee kabisa katika nchi yetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...