Nahitaji msaada wa kukutanishwa na mtu anaeweza kufundisha kidutch au kama kuna darasa la kidutch hapa Dar kama kuna community ya wadutch au watu wanaojua kidutch kwa ajili ya kupractise na kufundishwa pia.
mdau Shella

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. wasiliana nami kwa email email hii johariwangu@hotmail.com

    ReplyDelete
  2. nenda goethe institute nadhani iko pale Dar karibu na askari monument, kama nimekosea naweza nikasahihishwa na wadau,tafadhali.

    ReplyDelete
  3. Design utakua umepata fiencie wa kiduch ww!! Nakutakua kila la kheri.

    ReplyDelete
  4. Johariwangu....... Johari tatu au?

    ReplyDelete
  5. we mdau wa Fri Dec 31, 05:14:00 AM Goethe institute ni ya Ki-deutsch(kijerumani) na huyo mtaka msaada anataka ki-dutch(kiholanzi).Pia ujue Goethe istitute walifunga shughuli zao mwak 1996/97 na shughuli za kufundisha kijerumani wakawa wanazifanyika katika Russian cultural center.
    Kwa msaada zaidi labda aende ubalaozi wa uholanzi kuuliza huenda akapatiwa maelkezo mazuri.

    ReplyDelete
  6. KUNA JAMAA NI MDUTCH. UKIENDE PALE VIJANA KINONDONI KWENYE GYM MUULIZIE OSAMA. NI MTU ANAYEWEZA KUKUFUNDISHA NI JAMAA ANAYAWEZA KUKUFUNDISHA KIDUTCH TENA ANA COMMUNITY YA KIDUCTH WAKATI MWINGI WAKO PAMOJA.

    ReplyDelete
  7. Nina CD na kitabu kizuri cha kujifunzia kidachi,ni email musakitonge@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...