Nahitaji msaada wa kukutanishwa na mtu anaeweza kufundisha kidutch au kama kuna darasa la kidutch hapa Dar kama kuna community ya wadutch au watu wanaojua kidutch kwa ajili ya kupractise na kufundishwa pia.
mdau Shella
mdau Shella
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wasiliana nami kwa email email hii johariwangu@hotmail.com
ReplyDeletenenda goethe institute nadhani iko pale Dar karibu na askari monument, kama nimekosea naweza nikasahihishwa na wadau,tafadhali.
ReplyDeleteDesign utakua umepata fiencie wa kiduch ww!! Nakutakua kila la kheri.
ReplyDeleteJohariwangu....... Johari tatu au?
ReplyDeletewe mdau wa Fri Dec 31, 05:14:00 AM Goethe institute ni ya Ki-deutsch(kijerumani) na huyo mtaka msaada anataka ki-dutch(kiholanzi).Pia ujue Goethe istitute walifunga shughuli zao mwak 1996/97 na shughuli za kufundisha kijerumani wakawa wanazifanyika katika Russian cultural center.
ReplyDeleteKwa msaada zaidi labda aende ubalaozi wa uholanzi kuuliza huenda akapatiwa maelkezo mazuri.
KUNA JAMAA NI MDUTCH. UKIENDE PALE VIJANA KINONDONI KWENYE GYM MUULIZIE OSAMA. NI MTU ANAYEWEZA KUKUFUNDISHA NI JAMAA ANAYAWEZA KUKUFUNDISHA KIDUTCH TENA ANA COMMUNITY YA KIDUCTH WAKATI MWINGI WAKO PAMOJA.
ReplyDeleteNina CD na kitabu kizuri cha kujifunzia kidachi,ni email musakitonge@gmail.com
ReplyDelete