Mwenyekiti wa Kamati ya wananchi wa mtaa wa Zavara Chanika wilayani Ilala Salehe Malumbi (katikati) akielezea malalamiko yake kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya wananchi hao kutoshirikishwa wakati wa kutathmini na ulipaji wa fidia za mashamba na mali zao. Kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo Yusuf Simba na kushoto ni Katibu wa Kamati hiyo Greyson Mwanga.Picha na Tiganya Vincent , Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. i don't understand this word "anzungumza" in swahili what does this means!

    once you give me a real answer for that without miandering it, i will buy you a x'mass presents


    Nondo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...