
Mwishoni mwa juma Mzee Yussuf Kalala alisheherekea miaka 75 ya kuzaliwa kwake huko Capital Heights-Maryland pichani balozi wa Tanzania Washington Dc Mh. Mwanaidi Sinare Maajar akiwa na baadhi ya watoto wa Mzee Kalala Rahima na Farida na kulia ni Mzee Kalala na mkewe Bi.Sharrifa Kalala picha zaidi ungana na www.sundayshomari.com
Mbona Capital Heights ni uswazi kinoma , huko bunduki nje nje, hao nugu wa kumwaga.
ReplyDeleteHappy birthday Mr Kalala.Hongera Sharifa Kalala.Ni miaka mingi sana sijawaona.Kila la heri maishani.Its me ur Old friend.Norway.
ReplyDeleteBrother Yusuf Kalala, kwanza, Tunamwomba Mwenyezi Mungu akupe afya nzuri na akuongezee umri na awape furaha wewe na familia yako yote. Amin. Pili, "Happy birthday to you!!!!" Ahmed & Zahra (formerly of NJ and NY).
ReplyDeleteMashaAllah Uncle Yusuf, You look great for 75!!!! May the Creator and Sustainer of the Universe continue to shower you with his blessings. Amin. Your long-time Maasai family friend from somewhere in Arusha.
ReplyDeleteKwa uncle Yusuf, Shariffa, watoto na wajukuu wenu wote. Tunawatakia kila la heri katika maisha yenu. Eddy and family, West End, London, UK.
ReplyDeleteCongrats and God bless you all. Sadiki.
ReplyDeleteHappy birthday Uncle Yusuf. Sharifa ahsante kwa kumwangalia vyema uncle na kaka yetu. Mola awajaalie afya nzuri na furaha. Amin. Shafii.
ReplyDelete