
toka Abuja, Nigeria, ambaye ni mshindi wa Big Brother Africa 4 'The Revolution' ya mwaka 2009. Huyu bwana kwa sasa ni shemeji yetu halali kwani tayari keshatoa mahari na ndoa inatarajiwa kufungwa hapa Dar wiki ijayo. Hivi tunavyoongea tayari keshawasili Dar katika maandalizi ya kumeremeta kwao...


this is crazy who is he any way to make a news ? thats is ridiculous
ReplyDeleteYaani huyu jamaa anatuchukulia hivi hivi na sie watoto wa Oysterbay tuko hapa hapa???
ReplyDeleteAnony wa 10: 46: 00 kama humjui jamaa basi ni shemeji yako kama na wewe m-bongo, lakini ktk entertainment industry ya africa he is big news.... Sema jamaa yuko low profile hana makeke kama wengine... google hilo jina then utamjua ni nani.. Haters hamkosekani siku zote
ReplyDeleteWe kisaka sijui kyasaka, nadhani akili zako hazina akili.
ReplyDeleteacheni maneno nyie, waombeeni heri wenzenu, NAWATAKIA KILA LA HERI LIZZY NA KEVIN, GOD WILL BLESS YOU ALL - THE - WAY!
ReplyDeletei like this couple.post to us their wedding pics soon after their wedding plz.kwa wanaoijua vizuri show ya big brother wataipenda hii hasa kelvin.
ReplyDelete