The Kilimanjaro Band 'Wana Njenje' (pichani) wataukaribisha mwaka mpya leo katika kiota chao cha kila siku cha Salender Bridge Club jijini Dar, na kesho pia wataendelea na 'Kinyaunyau' katika kuadhimisha mwaka 2011. Kwa mujibu wa kiongozi wa bendi hiyo kongwe, Waziri Ally, Njenje imebidi waduarike mkesha wa mwaka mpya na kuendelea na libeneke kesho kutokana na maombi ya wapenzi wa muziki wa kistaarabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tanzania ni nchi yangu na kilimanjaro band ni band inayonipa burudani popote ninapokuwa. Happy new year wana njenje na washabiki wote wa njenje

    ReplyDelete
  2. Hongera wana Njenje kwa kazi yenu nzuri na mshikamano wenu katika kazi,nyinyi ndio mfano mzuri wa wanamuziki kukaa pamoja bila kuyumba kwa muda mrefu,nashauri pia bendi nyinginezo ziige mfano huu.Nawatakia heri ya mwaka mpya na mafanikio mema.Salaam pia zinatoka Tokyo(Akasaka)kwenye ile club yenu "Penta house)
    Abbu Omar Prof.Jnr.Tokyo,Japan.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...