Bi Shakila performing her song "Macho Yanancheka, Moyo unauma" in a chill out version. This film was recorded at the launch of Maisha Lounge Vol. 1 at The Waterfront, Dar es Salaam, Tanzania the 22nd of October 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. what a wonderful project,she deserve it.hongereni wote mlioshiriki kwa nammna mmoja au nyingine kufanikisha hili.kuna vipaji vingine vimestafu na kuishi kwa penshion ya kuza vitumbua.bi shakila kaza moyo na jione sasa ndio una anza sana na kipaji chako amekujalia mola big up.

    ReplyDelete
  2. Du asanteni sana kwa aliyeweka wimbo huu. Umenikumbusha marehemu baba yangu. Alikuwa anaupenda sana (nakumbuka nimeusikia more than 20yrs ago!)na kaseti yake bado ipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...