Balozi wetu Canada Mh. Alex C. Massinda akiwa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa Ottawa mara baada ya mkutano wao uliozungumzia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaleta pamoja Watanzania waishio Ottawa kwa shughuli mbalimbali za kijamii na maendeleo. Toka shoto ni Humphery Rutagemwa Katibu Msaidizi wa Jumuiya ya Watanzania Ottawa, John Kalonga Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania, Grace Mwakyambiki Mjumbe wa Bodi, Mhe. Balozi Alex Massinda, Dr Zakaria Mandara Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania na Brent Lushaka Mweka Hazina wa Jumuiya

jamani huko ottawa sikukuu ya uhuru wa tanganyika niaje? tunataka tuje kushangweka.
ReplyDeletewadauz, beautiful british columbia
Humphrey, naona hutaki kuachana na miwani yako. Nakumbuka pale Ilboru ulikuwa unalala ukiwa umevaa miwani siku moja ukaivunja wakati uko usingizini!! Hahaha...
ReplyDeleteDr. Humphrey Rutagemwa usiache miwani maana ndio jembe lako ilo. Nimekugoogle kwenye mtandao naona bado unashusha nondo kali kama enzi zile za Ilburu na Mlimani!!!
ReplyDelete