TAMKO LA MBUNGE WA KIGOMA KUSINI KUHUSU MGOGORO WA NISHATI YA UMEME NA KUSUDIO LA KUWASILISHA HOJA BINAFSI BUNGENI
UTANGULIZI
Karibuni wanahabari. Leo nimeamua kuwaomba kama wanahabari na watanzania wazalendo tujadili hatma ya Taifa letu ambalo utaratibu wa kuingizwa gizani na mgogoro wa nishati ya umeme unaelekea kukomaa na kuwa sehemu ya maisha ya watanzania.
Habari kamili
Mtukufu,
ReplyDeleteNyie si mlikuwa na Helikopta?
Acha mjadala, wewe lete umeme tu!
Si mliahidi siku 100 tu Nchi hii ni raha mustarehe?
Mheshimiwa,..Nimesoma hoja yako...wasiwasi wangu ni kwamba hoja yako haitaleta mabadiliko yeyote ya maisha yetu sisi wananchi wa kawaida.....tangu nizaliwe sijawahi kuona kwamba kuna ishu bungeni inayoleta mabadilio ya maisha yetu...ni hadithi tu kama nyingine...am sorry for that...
ReplyDeletewe Anymous hapo juu (08:35:00am) huyo ni Mbunge wa NCCR sio Chadema. Pili, wataletaje maendeleo na nchi hawajachukua wao. Ovyooo
ReplyDeleteWana macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii. Mh Kafulila, unahangaikia nini - Acha wafu wawazike wafu wao.
ReplyDeletewatu wengine wanaropoka kama wamekunywa pingu....aibu sana watu wazima hamfikirii nini mnaandika.
ReplyDeleteWewe anonymous wa kwanza shule ulisoma wapi?, nyie ndiyo huwa mnafeli mitihani wakati mtihani ulikuwa rahisi kisha mnasingizia kuonewa kumbe hamkufuata maelekezo!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKwako Mh. Kafulila, njia uliyoamua kupitia haitakufikisha unakotaka kwenda misumari njiani ni mingi sana utakwama tu, hoja yako itazimwa kwa KURA, si unajua wako wangapi? Kwa vile wewe ni mwanasiasa tumia njia nyingine bila shaka unaijua. Ila hii umeshindwa kabla ya kuanza.
Nategemea hoja yako itachakachuliwa, si unajua wako wengi hao.
ReplyDelete