



Kwa Picha Zaidi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Masikini Zanzibar yetu!!!
ReplyDeletemichu tafadhali huwe unapitia unacho kiandika huu mwaka mpya ni 2011 sio 2010 tena
ReplyDeleteUshauri wangu kwa bwana mdogo Marlaw - angalia unachokula na fanya mazoezi ya kutosha maana naona huo mwili unaongezeka kwa kasi ya kutisha. Huyu ninayemuona siku hizi ni tofauti kabisa na yule Marlaw wa 2007.
ReplyDeleteahh iwapi zanzibar yetu?
ReplyDeleteZanzibar yenu akina nani??? Zanzibar yetu sote acheni hizo...
ReplyDeleteMimi
mdau wa Sun Jan 02, 04:57:00 AM mbona unajigonga? mimi nimesema zanzibari yetu nawewe unauliza yenu akina nani? halafu papo hapo unasema zanzibar yetu sote, huoni kama unajigonga mwenyewe hapo?
ReplyDeleteAnyway kukujibu suali lako ni kuwa zanzibar ni ya wazanzibari, mtoto wa kambo hawi wako hata akikwita baba au mama! Mali ya kuiba si yako hata kama ukipita ukiimba kuwa ni yako!
ndugu yangu zanzibar yetu imekwenda arijojo ilobakia ni maumivu tu ya kumbukumbu za enzi za zanzibar ya kweli!!!
ReplyDeleteMimi nadhani kwa sasa tusizungumzie suala la serikali 3 kwenye katiba yetu m,pya bali tufikirie kuiruhusu Zanzibar kuwa nchi huru ili tuachane na kadhia za muungano bandia ambao umeshindikana kwa zaidi ya miaka 40 sasa. Tanganyika itaendelea kushirikiana na Zambia kama jirani mwema na katika EAC kama nao wataamua kujiunga.
ReplyDeletepity, ningetaraji kuona akina dada/mama waliovaa nadhifu, mavazi ya heshima na shungi ama nywele nadhifu, na akina kaka/baba wenye mavazi nadhifu ya kiafrika wakiimba midundo yetu ya taratibu huku wakisindikizwa na ala mbalimbali za muzuki...inauma sana
ReplyDelete