'SHOGA' ni filamu ya aina yake inayosubiriwa kwa hamu karibu na kila mtu sio tu kwa vile imegusa engo mpya katika tasnia, bali pia ni kutokana na maneno mengi yaliyomzingira mwigizaji mkuu wa filamu hii ambayo inagusia maisha ya mtu ambaye ana kila kitu isipokuwa uwezo wa kula 'chakula cha usiku' hana. Maoni yanakaribishwa
'SHOGA' ni filamu ya aina yake inayosubiriwa kwa hamu karibu na kila mtu sio tu kwa vile imegusa engo mpya katika tasnia, bali pia ni kutokana na maneno mengi yaliyomzingira mwigizaji mkuu wa filamu hii ambayo inagusia maisha ya mtu ambaye ana kila kitu isipokuwa uwezo wa kula 'chakula cha usiku' hana. Maoni yanakaribishwa
Nimebahatika kuona trela ya hii picha, nimepata ugumu kuelewa mtunzi/mwongozaji alikusudia kuwafunza nn watazamaji. Isije kuwa ni kukurupuka tu"
ReplyDeleteAlinho.
Kwakweli mimi km mimi ningependa kwanza kujua nini fundisho la hii movie hasa? Maana isije ikawa haina fundisho lolote ila mradi tu kuburudisha watu pasipo ujumbe wowote hasa watoto wakiona movie hii watajifunza nini km sio kwenda kujaribu???????....kwani nakubaliana na wazo lake napia nafkiri kwa mwanaume aliyekamili sidhani km watapenda kuona snema hii wengi najua hawatainunua ata kuiangalia au kuiona inaingia nyumbani kwake iwapo mimi hapo mumewangu ameshaniambia nisikuone unanunua ujinga nikaangalie mbele ya safari kwetu hataki kuiona ndani kwake, naona km inadhalilisha wanaume pamoja na kwamba ni reality na kitu ambacho kipo miongoni mwa jamii inayotuzunguka? Je inafundisha? mi nafkiri wateja wengi wa hii movie watakuwa mashoga wenyewe na wanaume mabasha na wanawake mashambenga! Mtu mchamungu sidhani km anapenda pia kuangalia au mwanaume kamili.
ReplyDeleteFull maigizo, ni kwa nini kila mtu anapenda kupayuka? ndiyo sinema gani sasa, muache kupayuka ovyo unamueleza mtu jambo huku unapayuka sinema au nini hii, jaribuni kuwa wapole sinema zenu zitakuwa njema msikopi kila kitu kwa wanaijaa wenyewe hata ongea yao ndo hivyohivyo.
ReplyDeleteinackitisha kuona waTZ tunashindwa kabisa kuongea kikawaida.inakuwaje unaongea kama vile mwenzio yupo umbali wa hatua 50 wakati mpo right next 2 each other??!!!!wapopo hivyo ndivyo walivyo,hawajui kabisa kuongea kistaarabu.igeni yaliyo mazuri!!!!!not just ANYTHING n EVERYTHING.
ReplyDeletewow asante michuzi nimemuona dadangu wa dmu kemmy sijamwona miaka miwili sasa lol, hii si yakukosa. thanx na naimani inafundisho.
ReplyDeleteKokusima
Mnapenda sana kuponda kabla ya kujifunza, Kwanza kwa wewe mwenye watoto ,bado hujajua kua filamu , music na burudani zote zina age limit? unajua hilo?
ReplyDeleteNimeingalia hii trailler sijaelewa vizuri ila nilicho ona nikama Mume mwnye ndoa ana cheat na wmanume mwenzake na mke kumfumania.
Hilo tosha ni fundisho muafaka haswa ukizingatia tabia za ushoga zipo na wengi wameoa na kuishi kama mume na mke wakati kisiri wana uhusiano na watu wajinzia moja.
Kama mwanaume kwa hiari yake kaamua kuwa na mwanaume mwingine muacheni. Kila mtu anataka kumpigania mungu vita, muachieni Mungu ndio awe muamuzi.By the way shoga na basha wote ni mashoga hii ni kwa wale wanaume wanaofikiria kuwaangila wanaume wenzao ni adhabu wakati wanafanya kitendo cha kishoga.
ReplyDelete