Align CenterUongozi wa Jumuiya ya Watanzania Waishio Uholanzi

The Tanzania Association in the Netherlands (TANE)

Wanaungana na Watanzania wengine wote walioko Ughaibuni, kuwapongeza WATANZANIA wote tunapokumbuka na kusherehekea miaka 49 ya Uhuru.

Tunaitakia kila la kheri na fanaka Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Watanzania wote chini ya Uongozi wake,

Mh. Rais Jakaya M. Kikwete

Wito wa TANE:

Tutumie muda wa mapumziko kutafakari ni jinsi gani sote mmoja mmoja au katika Kikundi / Chama / Idara/ Asasi / Wizara n.k tunaweka Mikakati ya kuimarisha Uwajibikaji na Uzalendo katika kutoa michango chanya kwa namna yeyote inayokubalika kwa ajili ya kujiletea Maendeleo ya kweli ya Watanzania na Taifa letu kwa ujumla.

Uhuru – Kazi yetu sote!

Imetolewa na:

Musuto Mutaragara Chirangi
(Makamu Mwenyekiti – TANE)

Kwa mawasiliano zaidi na Jumuiya wasiliana na:

Bulemo Kweba (Mwenyekiti - TANE)
Simu kiganjani: +31 (0) 684116242
(Bulemo.Kweba@opcw.org)

Miza Mwinyimbegu (Katibu - TANE)
Simu kiganjani: +31 (0) 62632 6528
mizamwinyimbegu@hotmail.com

wabongo-nl@yahoogroups.com
watanzaniauholanzi@googlegroups.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana hii kwenye mambo ya kujenga nchi na si siasa ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. Naomba kujua kama hii picha ni ya maktaba au ni mpya.
    Namuona Damian hapo na nijuavyo Damian ni mgonjwa. Je, ameshapona na kuchangamka hivyo.
    Kama ndivyo tunamshukuru Mungu kwa afya ya mpiganaji huyu. Damian, stay well brother.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...