Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Bi. Sophia Simba akimkabidhi zawadi ya Shati mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumpongeza Rais Kikwete kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.Sherehe hizo ambazo zilihudhuriwa pia na mke wa Rais mama Salma kikwete zilifanyika katika viwanja vya Biafra Kinondoni jijiji Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na mwenyekiti wa UWT Bi.Sophia Simba wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto chipukizi walioshiriki sherehe maalum za kumpongeza Rais Kikwete kwa kushinda uchaguzi mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Baadhi ya wanachama wa UWT waliohudhuria shrehe maalumu za kumpongeza RaisDr. Jakaya Kikwete kwa kushinda uchaguzi mkuu uliuomalizika hivi karibuni(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...