Kura zikihesabiwa. Kwa mara ya kwanza Jumuiya ya Watanzania ugiriki imeamua kuwashirikisha vijana kuongoza jumuiya yao kutokana na kuwepo vijana wengi nchini humo.Tofauti na jumuiya nyingi za watanzania ughaibuni hii ni ya mwanzo kufanya kitengo cha vijana.
Kwa picha zaidi tembelea website ya jumuiya hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MBONA NIKIANGALIA PICHAS KWENYE TOVUTI YAO NAONA WOTE NI WAZEE.....VIJANA WAKO WAPI??

    ReplyDelete
  2. eeh bwana eeh, huyo mwenye kofia picha ya juu ni maalim matambazi? au macho yamenichanganya?

    ReplyDelete
  3. Kuteuliwa hakuna kura zinazopigwa,hivyo hawa vijana wamechaguliwa.

    ReplyDelete
  4. OK KUMBE NA DR.SHEIN MBONA KABLA YA KUHUTUBIA BAADA YA KUTANGAZWA KWA KURA WALISEMA RAIS MTEULE INA MAANA NA YEYE HAJACHAGULIWA?
    Ndie mALIM MATAMBAZZ HUYO

    ReplyDelete
  5. Sista mwenye kimini kapata keyo gani?

    ReplyDelete
  6. Kweli sifa za abroad zisikie tu, kwa macho twaona kinyume. duh

    ReplyDelete
  7. hpo unaejiita KILO uninivunja mbavu ni keli hamna vijana ni wazee tu labda maisha magumu

    ReplyDelete
  8. Watanzania mnawrite off watu mapema sana. Nyie kwenu kijana ni 16 and below ukiwa in your 20s basi wewe baba, 30s babu sishangai life expectancy ni 40 yrs old ...ukiwa in your 50s wewe unaitwa mchawi...

    hao wote hapo vijana kwa vile kwenu mtu akionekana hivyo basi ana miaka 30 na...haoa hap hamna aliyezidi 25 basi kwa taarifa yenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...