Mmoja wa waanzilishi wasimamizi wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo) kwa hapa nchini,Kaye Billy akizungumza katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika jana jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Mmoja wa wageni waalikwa na mmiliki wa mtandao wa http://www.yelp.com/,Russel Simmons akizungumza mambo yafanyikayo na Mobile Monday (MoMo) pamoja na maswala mazima ya ICT katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Mdau mkubwa na wa kwanza katika maswala ya kutengeneza blog nchini Tanzania, MK kutoka kwenye kampuni ya MKCT akichangia mada mbali mbali na kuleta chachu katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanyika jana jioni katika ukumbi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Waanzilishi wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo) wakiwa pamoja na wageni wao katika picha ya pamoja.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa ICT wakifuatilia kwa makini mkutano huo.


kwa habari mbali mbali za Mobile Monday.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kuku ,umetisha. Kwa style hii Uganda hurudi Billy u got me. Miss u sana brother,kila la kheri.

    ReplyDelete
  2. Huyo MK ni Christopher Mwakwaia?? Kama ndiye big up sana broo

    ReplyDelete
  3. Niliwahi kuhudhuria huu mkutano, hawa jama wanajitahidi kudiscuss na kuinua makampuni machanga ahaswa yale ya briefcase ili yaweze kulete ushindani kwenye soko... najiuliza ivi kweli mimi kama head of IT katika wizara au idara ya serikali naweza kuwapa kazi hawa young company wakati ..waje waniletee bugs mpaka zikae sawa sinimefukuzwa kazi..kwa nini nisiende nikanunue kitu na box kinachohitaji custumisation?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...