Msanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bonfleva ambaye pia ni mmoja wa Mabalozi wa Malaria hapa nchini,Mwasiti akiwaimbia wakazi wa Mbeya moja ya wimbo wake pendwa uitwao sio kisa pombe katika uwanja wa Sokoine jioni ya leo kwenye tamasha la Msimu wa raha kamili na Serengeti ambapo watu kibao walijitokeza.
Dj Choka akicheza na mashine huku mdau Andrew Kussaga akiicheki milazo ya dj huyo.
Washabiki waliomua kupanda jukwaani na kuonesha umahiri wa kukicheza kiduku kwa staili ya kipekee kabisa jioni ya leo,kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Wakazi wa Mbeya leo jioni wamejitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Msimu wa Raha Kamili na Serengeti,kwenye uwanja wa Sokoine kuwashuhudia wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye tamasha hilo lililokuwa na msisimko mkubwa.kwa picha zaidi bofya hapa .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...