Habari njema kwa Ndugu zangu Watanzania mnaoishi nje ya Tanzania, Tumefungua Duka la Mtandao(Onlineshop) la kuuza Chai na Kahawa ya Tanzania tuu. linaitwa Chai & kahawa Online Shop:
www.chaikahawa.com
Liko Stockholm, Sweden. Tunaweza kuuza na kusambaza chai na kahawa kwa mteja yeyote aliyopo nchi yeyote duniani. wote mnakaribishwa Kununua na kujivunia bidhaa zetu.
Kwa Mawasiliano,Maoni,Ununuzi wasiliana nasi kwa kutumia
email info@chaikahawa.com au piga simu,tuma ujumbe mfupi(sms)
+ 46762878341.
NB:website iko kwenye Flash,
kama utapata tabu kuifungua download flash adobe

Hongera sana wadau wa Chai na Kahawa. Ila mjihadhari na 'Value' mnayo advertise. Unless you guarantee, the medical values of tea could only be referenced.
ReplyDelete