Home
Unlabelled
wakongwe wa muziki wakifurahia uhuru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal naomba msaada kidogo. Huu ni mwaka gani na hawa waimbaji na wapigaji ni kina nani atii?
ReplyDeleteVijana wa bongo Flava's mmeona mambo hayo?huo ndio mfano mnaotakiwa kuiga,sio kutuimbia nyimbo ambazo zinapigwa ktk CD,halalafu unashika Mic unajifanya unaimba,ujinga mtupu,wazee wakazi mmewaona?wamenikumbusha mbali saana, pale nimemuona mzee kiki,Abdul salvador(key board)Waziri ali alie kua amesimama katikati,Hassan Rehani Bitchuka,pembeni ya king kiki mwenye Tshirt nyekundu, Shaaban Lendi mwenye miwani(Sax) na Mafumu Bilal mwenye Tshirt ya Bob Marley(Sax), mzee kitime, na wengine siwafaham, kazeni buti wazee wa zamani.
ReplyDeleteAssalaam Alleykum Ankol Michuzi!Ahsante sana kwa Blog yako kwani tunapata jabari za home mara kwa mara tunafungua Asubuhi na jioni,nyimbo hii imenikumbusha sana Home Bongo!Na enzi zile za Uhuru tulizoea kuonyshwa katika TV black & White,Tanzania yetu jamani ya Amani!Hao waimbaji nyimbo wameipatia ila kuna kisauti chembamba hamjakiweka,lakini nawaaminia kina King Kikii Waziri Amza Kalala,na huyo jamaa wa miwani jina limenitoka kidogo wa zamani Bongo star search au sio wa kofia kuubwa wakati ule!kwani hawapo wakongwe za wa zamani waliouimba huwo wimbo?au yupo hapo moja wapo!
ReplyDeleteHii safi sana, inanikumbusha mbali sana kwa kweli
ReplyDeleteOld is gold for sure!
ReplyDeleteNdugu yetu Jay! inaelekea haupo kabisa katika ulimwengu wa mziki?
ReplyDeleteyaani katika hao hakuna unayemjua?!
labda nikusaidie kidogo katika safu ya waimbaji ni wakongwe akina Kikumbi Mwanza Mpango Kyembe Mwema aka KIKI,Hassan Rehani Bitichuka "Super Streo",John Kitime,alisimama ni Waziri Ali,Drum
Habibu Mgalusi aka Jeff,Solo Gitaa Commando Hamza Kalala "Mzee wa Kasimbago,pia katika gitaa ni Dr.Said Mabela,katika mdomo ya bata siwaoni vizuri lakini namuona Mafumu Bilali wa BOMBENGA,wengine watamalizia wezangu.
Mdau
Mjeshi wa FFU
Ughaibuni
fantastic
ReplyDelete(US Blogger)
SAFI SANAAAA...
ReplyDeleteDa nakumbuka enzi za miaka 1979 Mh! mpaka chozi limenitoka !!!! NAona waziri anatamani na yeye angeshika guitor lol: Hii nimeipenda Ankal, sasa hawa watu hawawezi kujikusanya kama hivi halafu wakafanya show moja ama kwa hakika watapa pesa ya kukidhi maisha ya baadhi ya wanamuziki naamini wengine wako kwenye hali mbaya kimaisha. so wangekuwa angalau mara tatu kwa mwaka wangekuwa wanakutana yaani WATU WENGI WATAINGIA KTK HIYO SHOW YAKO! mpaka sisi vijana wa miaka ya 47 ..
nI KWELI BONGO FLAVA mjifunzze hapa , yaani ni sauti zao wenyewe na matarumbeta Ah! wapi jamani mambo kama haya!!!!
BIG UP
Naomba nimkanushe mtoa maoni mmoja kwani kwa hao wapiga magitaa ni kweli mmoja ni Hamza Kalala lakini mwengine si o Said mabera bali ni mzee Juma Ubao aka King Makusa.
ReplyDelete