Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya ( mwenye suti) akiwa ameshika kikombe cha ushindi wa pili wa kitaifa katika mchezo wa soka wa timu ya Mkoa wa Morogoro iliyoshiriki mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania ( UMITASHUMTA) Mjini Kibaha , Pwani mara baada ya kuwasili mjini hapa , leo wakiwa nje ya Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya (aliyekaa kushoto) pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mgeni Baruani , ( kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu ya Mkoa ya Netiboli na soka baada ya kupata ushindi wa kwanza wa netiboli na wapili katika soka kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania ( UMITASHUMTA) Mjini Kibaha , Pwani hivi karibuni , ambapo leo wakiwa nje ya Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na Mkuu wa msafara na watendaji wengie wa Wialaya na Mkoa.Picha zote na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...