Wachezaji timu ya Yanga wakiwa katika mazoezi Uwanja wa Uhuru kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inayotarajiwa kuanza januari 15 mwakani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana chama la wana nkolomboka umoja wa mataifa watoto wa Jangwani Dar Young Africans. Make us proud next year kwenye CAF na piga mnyama ua kama kawa. Merry X-Mass and Happy holidays to everybody!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...