Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Jamani mbona unakwepa duka kama vile unakimbia ukoma?ingia tu hata pipi Auncle

    ReplyDelete
  2. With his famous T-shirt ....

    ReplyDelete
  3. we mkeo yuko wapi?vacation gani za pekeyako kila siku kama sio uhuni tuu???

    ReplyDelete
  4. Hiyo T-shirt nayo ilishaona mengi!

    ReplyDelete
  5. Fulanazzzzz ndani ya! Mapumziko mema Ankal!

    ReplyDelete
  6. ANKAL atajitetea Duka hilo kuna vitu vya vitenge hata Tanzania vipo...

    ReplyDelete
  7. maswala ya kumuuliza mkeo yuko wapi ni kukosa adabu sio lazima awaambie kilakitu kama ni safari ya kikazi kuweni na adabu.

    ReplyDelete
  8. HI!!!!Fulanazzzzzzzzzzzzzz!!!! ya libeneke oyeee!
    harafu tusikie heti kuna mtu kafika bei fulanazzzz!
    tutavuana mitaani.
    wadau
    FFU
    askari wasio na nidhamu

    ReplyDelete
  9. ankal si nilikuletea tshirt nyingine iweje uvae hiyo hivyo jamani??

    ReplyDelete
  10. Kumbukumbu zangu zinaniambia hii ilikuwa vacation ya siku nyingi, nilishawahi kuiona tena hii picha.
    hakuna kubana hata kama hujala.

    ReplyDelete
  11. Ankal hii ze-fulanaaaz ipo moja kweli au una copy nyingi??? Big up, imekaa ki-vekesheni.Ninakutakia vekesheni njema.
    - Mdau Novati Shangarai.
    novati.shangarai@gmail.com

    ReplyDelete
  12. Ankal haya ni mambo ya mwaka jana bana.

    Au umemwambia shemeji uko safari kumbe uko kwa jirani?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. Mdau wa tatu, aliechukua hii video ndo shemeji mwenyewe kama hujui.

    ReplyDelete
  14. mbona sasa kama unaibia!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...