Wazri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimkaribisha Mbunge wa Bunge la 18 la Korea ambaye pia ni Balozi wa Shirika la Misaada la Korea (KOIKA),Mh. Yoo-Sun Cho alipomtembelea leo ofisini kwake,Magogoni jijini Dar.Mh bibi Yoo-sun cho picha na pmo
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Mh. Yoon-Sun Cho ambaye Mbunge wa Bunge la 18 la korea na ni Balozi wa Shirika la Misaada la Korea (KOICA) pamoja na Balozi wa Korea hapa nchini,Mh. Young-Hoon Kim walipomtembelea leo ofisini kwake,Magogoni jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mangi wa KiboshoJanuary 26, 2011

    Wakorea hasa Kusini wako juu sana ktk masuala ya viwanda na uzalishaji wa viwanda vya ni wa gharama za chini hivyo ni vizuri serikali ikawaalika wao ili kuwekeza Nchini

    ReplyDelete
  2. Haya Mtoto Wa Mkulima, huyo kajileta mwenyewe, mpige mzinga wa kutosha kwenye sekta zote za Afya, Kilimo na Elimu. Huwa wakina-Mothers wana huruma sana, hapo hukosi angalau bilioni 100 tu, nakuaminia mwananguuuuuuu na ukiona anazidi kujichekesha mwambie atujengee chuo kikuu kingine kule Tanga tuendeleze migomo, Teh Teh Teh!!!!!!!!!!

    Abiola Jr. Mikanjuni, Tanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...