Home
Unlabelled
Brand New Track "GOOD LOOK" AY Featuring Ms. TRINITY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mnaiga sana wamarekani. Mkitaka mziki wenu utambe kimataifa jaribuni kuonyesha utamaduni wenu. That's why Dr. Remmy Ongalla was known and respected all over the world.
ReplyDelete@Anonymous Anasema: Wed Jan 26, 01:36:00 PM 2011, ukiona hivyo ujue sio mziki wako kaa kando mkuu! hiyo videotrack ipo tight!
ReplyDeleteSafi nimependa alivyovaa kofia ya TANZANIA. Creative, big up! We anaon wa kwanza, kwa nn usiimbe wewe nyimbo zako uwe respected ww!!
ReplyDeleteHii track ni soo, sijawahi sikia kitu kama hii aisee kutoka pande za bongo.. Big up sana AY, hapo umekandamiza kibara ile kinoma...We anon unayedai waimbe nini sijui kacheze wewe sindimba ujulikane duniani... Kubali talent za wengine... sio lazima wote wawe na style moja ya muziki, same thing in life, haiwezekani wote tuwe madaktari, au madereva au marubani... Mgawanyo wa kazi muhimu mzee, elimika.
ReplyDeleteNyimbo powa sana na unaweza kupiga club sehemu yoyote duniani.
ReplyDeletekazi nzuri AY.
HIVI KWANINI WATANZANIA TUNA WIVU.. Yaani mwezio asifanye kitu. Lakini AY hiyo beat ni kali lakini wewe na huyo dada hamuendani. Wewew umeanza na kukaa chini na background ya video shoot ni cheap.
ReplyDeleteUngetakiwa uwe na video ya nightclub au beach party.
Umerap vizuri but lakini hiyo video ilikuwa wack.. Yaani mbaya. Itabidi ureshoot alafu uweke mambo. Angalia ile video ya Chege Mikono weka Juu au video za Ali Kiba.
Mdau wa Marekani
TK
Thats "Job well done" brother, mimi naomba niwaase wanamuziki wetu kwamba wawe waanglifu when it come to contracts na wasanii wakubwa hasa wanaotoka Ughaibuni. Wasije wakawa wanawatumia halafu mnabaki tu na majina makubwa pesa hamna.
ReplyDeleteOtherwise umefanya kazi nzuri sana, sio wewe tu hata na wengine wote kwa kweli mnajitahidi sana. God bless you all , abundantly.
Mdau kutoka Kigamboni -Vijibweni.