Home
Unlabelled
BERRY BLACK KASHAWASILI STOCKHOLM TAYARI KWA MAKAMUZI LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ninapendeza sana kuona wasanii toka TZ wanakwenda nje ya mpika ya TZ na hata Afrika kuonyesha vipaji vyao. Ila mm sipendi hii tabia ya wasanii kujibandika majina ya kizungu oohh!! berry black mala black berry tumieni majina yenu halisia. Halafu kwenye maojiano kama hayo ongeeni point siyo pumba ooh!! mademu,warembo ndicho kilichokupeka huko au?? Kaa ukijua hapo unaitangaza nchi yako.....
ReplyDeleteMdau DSM TZ
BERRY BLACK KUNA WEAKNESS KUBWA AMBAYO INABIDI UJIREKEBISHE NAYO KWA AJILI YA FUTURE SUCCESS YAKO,UNAPOKUJA ABROAD SPECIFIC EUROPE AU USA,AVOID KABISA MAMBO YA UZANZIBAR,HUKU WATU WOTE WANAISHI KAMA WATANZANIA,NA KWA WALE AMBAO WATATAKA KUITAMBULISHA ZANZIBAR WANATUMIA "MTANZANIA KUTOKA ZANZIBAR",KWA HIYO HUKUWA NA SABABU YA KUSEMA NIMEKUJA KUITANGAZIA ZANZIBAR.
ReplyDeleteMDAU ISTAANBUL
Nampongeza sana bwa' mdogo kwa hatua hiyo na aendelee zaidi na zaidi. Na naunga mkono idea ya wasanii wetu kutumia majina yao halisi. Huwa inapendeza sana. Hebu angalia jina kama Mrisho Mpoto ambavyo limepata umaarufu nje na ndani ya nchi. Hata 'Afande' Sele pia linapendeza na lishakuwa maarufu sana japo halina vionjo vya kizungu.
ReplyDeleteKwa upeo wangu mdogo naona kama Zanzibar ni maarufu huko duniani kuliko Tanzania. Hivyo ukijitambulisha kama mzanzibari unatambulika kwa urahisi zaidi...I guess.