Home
Unlabelled
dar tambarare...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TAMBARARE NINI SASA HAPO?
ReplyDeleteMDAU PARIS
Halmashauri ya Jiji La Dar watengeneze njia ya watembeao kwa miguu kwa kutumia vitofali toka Posta ya Zamani mpaka Feri. Maana vivuli vya mikungu na Muarobaini vipo, lakini kwa vile maelfu kwa maelfu ya wakazi wa Kigamboni na wafanyakazi wa serikali hutembea kwa miguu toka Posta hadi Feri, basi kuzuia mmomonyoko wa ardhi na kupendezesha Jiji , Meya wa Jiji la Dar aanze mradi huo kuifanya Dar-es-Salaam tambarare angalau kipande hicho cha 'pavement'.
ReplyDeleteMdau
Kivukoni.
Yaani hakuna milima na mabonde nadhani ndo alichomaanisha
ReplyDelete