

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kinachotakiwa hapa ni huyu dikteta Mubarak,familia yake na viongozi wote wanaomuhusu kutokuwepo madarakani na ikibidi watoke kabisa nje ya nchi,hii ni kutaka kujenga serikali yenye mtazamo mpya na isiyo muhusisha mtu yeyote kutoka serikali yake,sasa tunashangaa anavyoharakisha kuchagua mtu wa kumuachia !!!Hii yote kutaka asije akafunguliwa mashtaka,Madikteta woote wa Africa mkae mkijua huu ndio wakati wa mabadiliko na watu wamechoshwa na ubabaishaji,ufisadi na kukwamia madarakani,bado bongo !!dawa ya mafisadi ipo jikoni inachemka.Mungu ibariki Africa.
ReplyDeletemtoa maini Japan.
Bwana Michuzi, this will not save the Mubarak tyranny. The octogenarian despot has overstayed his welcome, and it's time he let go of the reins of power he has held for three decades. Huyu jamaa aige mfano wa Ben Ali ili Wamisri waweze kufungua ukurasa mpya wa demokrasia na maendeleo baada ya kukandamizwa kwa miongo kadhaa.
ReplyDeleteMdau, Dar es Salaam
Huyu Ommar Suleman ajue kuwa yeye ndiye mbuzi wa kafara !!Cha kufanya haapo ni aanze kuingia mitini kabla wananchi waliojawa na usongo wa nchi yao kumtia mikononi,litamchwea sasa hivi mambosiyo mchezo Egypt !!!
ReplyDeletemdau bongo.