Shemejie ankal, Marshall, akikata keki usiku huu
kusherehekea hepi besdei ya kuzaliwa kwake
Dada'ake Ankal, Mishi, akimlisha keki mumewe Marshall.
Kwa picha zaidi ya mnuso huu.

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera Ankal na my sister wako, kumbe nyie ni watu wa kimataifa. Hamchagui wala hambagui kwani atakayewazika hamumjui.
    Ili kumkoleza huyo Mtasha mfundisheni kuongea kimatumbi cha kule Lusanga, hatarudi kwao ng'o!!!!( msimtafsirie please)

    Abiola Jr.

    ReplyDelete
  2. shemejiiiiiii, congrats to your shem for reaching 62yrs..God bless

    ReplyDelete
  3. Mmhh, I did'nt know that ankal you are part of Mange network !!!

    ReplyDelete
  4. Ah michu naye nyinyi pia kumbe muna kasumba na wazungu,sielewi ni pesa au urahisishaji wa makaratasi,babu la miaka 62 la nini tena kama sio kutafutiana ubaya kwenye kitanda.
    michu najua hii comment utaikunja ila ukiipitisha ni kigezo muhimu kuwa hii blog ni ya jamii na sio ya familia
    mdau istanbul

    ReplyDelete
  5. We mdau wa instabul wacha majungu... kwani aliyekwambia dadake michu ana miaka 20 nani??? udaku tuu? Uliza kwanza umri wa bibie alafu uanze toa comment!! Alafu kama hujaelewa wapo bongo so makaratasi ya nini??? aah watu wengine bwana mpaka mnatufanya wengine tulioolewa na wazungu tunakuwa na chuki binafsi! Watu wanaowana kwa mapenzi sio kila siku hela au makaratasi.....!!!! mbona hamfuatilii baba zenu bongo wenye miaka 50-60 nk kuwa na nyumba ndogo madenti wa sekondari????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...