Pichani ni Hayati Mzee Gisi Mwamfupe enzi za uhai wake, Marehemu ni baba mzazi wa mpiganaji Richard Mwaikenda, mpiga picha mkuu wa gazeti la JamboLeo. Amefariki juzi na anategemewa kuzikwa leo kijijini kwake Kandete, Mwakaleli, Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Amefariki kwa matatizo ya moyo akiwa na umri wa miaka 66.
Mpiganaji Richard Mwaikenda akiwa na waombolezaji wengine katika hospitali ya Amana jijini Dar ambapo pamoja na kuhifadhiwa, ndugu jamaa na marafiki wa marehemu walikutanika kumuombea na kumuaga kabla safari ya Mwakaleli kuanza
Wapiganaji wenzie Richard Mwaikenda wakiwa kwenye misba huo
Mpiganaji Richard Mwaikenda akiongoza
maombolezo ya baba yake mzazi

Mpiganaji Obeid Mwangasa akiratibu shughuli nzima kabla mwili wa marehemu kuanza safari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...