Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko wa Zanzibar, Mh. Thuwaiba Edington Kisasi akimkabidhi zawadi ya fedha Shilingi Laki moja na nusu,nahodha wa Timu ya Mpira wa Mikono IKulu Netball ya visiwani, Huzuni Mussa,baada ya kuwashinda timu ya Sogea kwa vikapu 44-30katika mchezo wa ubingwa wa Netball wa Mapinduzi Cup uliochezwa uwanja wa Gymkhana Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...