Katika uzinduzi huo Jhikoman atasindikizwa na wasanii mahiri Ashimba na Vitalis Maembe! kwa watakaofika kituo cha utamaduni cha wafaransa Dar watapata fursa ya kuangalia DVD ya Jhikoman kwenye screen kubwa!

Hii ni DVD yenye mchanganyiko wa Music videos
http://www.youtube.com/watch?v=qMiX6NET7cQ ,
clips toka kwenye live shows
http://www.youtube.com/watch?v=3E2zTZYBkpM
pamoja na Documentary
http://www.youtube.com/watch?v=yXeiE8B5BMg
Imejumuisha nyimbo kama kuagana,
Tupendane, Nyumbani, Mapenzi na set me free
Kiingilio ni Bure!
www.jhikoman.com
www.myspace.com/jhikomanband

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...