JK akiwasalimia wanafunzi wa darasa la saba katika shule Mpya ya Msingi Msoga iliyojengwa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China. Rais Kikwete alikagua madarasa hayo muda mfupi baada ya kukabidhiwa na kaimu Balozi wa China Bwana Fu Jijun huko katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo leo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Can we adopt a Chinese Primary School Syllabus?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...