ASKOFU wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jimbo la Iringa Jonas Mkane (kushoto) akipokea ufunguo wa gari kutoka kwa mwenyekiti wa kikundi cha wanawake watumishi wakristo (WWK) wa kanisa hilo Ruaha . Mariam Msigalla ,wanawake hao zaidi ya 30 wamenunua gari hilo kwa ajili ya mchungaji wao Ezekiel Kileka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Masikini waumini wao wanatembea kwa miguu.

    ReplyDelete
  2. Heeee! Hii imekaaje?

    ReplyDelete
  3. hawana furaha hao as kwao msoto kama kawa

    mchungaji hakuna excuse ya kytowatembelea na kuwabeba kwenda shughuli za kikanisa esp usiku

    Pia usiwaombe pesa za petroli kila wiki

    ReplyDelete
  4. mbarikiwe kinamama wa TAG Iringa

    ReplyDelete
  5. Mbarikiwe kwa kitendao cha kiungwana. hata Kristo alipakwa mafuta ya thamani na Mariam, akina Yuda wakasema ni heri wangegawia masikini! Mungu awazidishie pale mlipotoa. Soi muumini huko lakini nimegushwa kitendo cha akina mama hawa

    ReplyDelete
  6. Biblia inasema ni heri kutoa kuliko kupokea, kama haujajua neno hili, utaona kina mama hawa kutoa kwao ni kama wamepoteza lakini kumbe ni kinyume kabisa.Neno la Mungu linasema mawazo yake sio mawazo yetu.Wewe unapowaza nipokee tu ili niwe navyo vingi. yeye ansema kwa kutoa ndipo utakapoweza kuwa na vingi.

    ReplyDelete
  7. ni vizuti kuthamini watumishi wa Mungu kama walivyofanya kina mama hawa wa TAG iringa,maana watumishi wa Mungu wanawaongoza watu kutenda mema.

    ReplyDelete
  8. Masikini hao wanazidi kunyonywa kwa kivuli cha Imani. ingekuwa vema huo mchango wangeanzisha fungu la kusaidiana wao binafsi na kupata mitaji ya kuendesha biashara ya kuuza chips kuliko walivyofanya.

    ReplyDelete
  9. Mungu awabariki sana akina mama wa Iringa. Kila aliyejitoa katika kumtumikia Mungu kwa njia hii, Mungu atamrejeshea mara elfu. Mbarikiwe, kazi ya Mungu inabebwa na akina mama.

    ReplyDelete
  10. mbarikiwe sana kinamama kwa kumjali anayewalisha kiroho na Bwana atawarejeshea zaidi. Wapendwa huo ni mfano wa kuigwa kujitoa kwa ajili ya wale wanaojitoa kwa ajili ya maisha yetu kiroho, kiakili na kimwili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...