ASKOFU wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jimbo la Iringa Jonas Mkane (kushoto) akipokea ufunguo wa gari kutoka kwa mwenyekiti wa kikundi cha wanawake watumishi wakristo (WWK) wa kanisa hilo Ruaha . Mariam Msigalla ,wanawake hao zaidi ya 30 wamenunua gari hilo kwa ajili ya mchungaji wao Ezekiel Kileka
Home
Unlabelled
kinamama wa kanisa la TAG Iringa wamnunulia gari mchungaji wao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Masikini waumini wao wanatembea kwa miguu.
ReplyDeleteHeeee! Hii imekaaje?
ReplyDeletehawana furaha hao as kwao msoto kama kawa
ReplyDeletemchungaji hakuna excuse ya kytowatembelea na kuwabeba kwenda shughuli za kikanisa esp usiku
Pia usiwaombe pesa za petroli kila wiki
mbarikiwe kinamama wa TAG Iringa
ReplyDeleteHuu ni mfano wa kuigwa
ReplyDeleteMbarikiwe kwa kitendao cha kiungwana. hata Kristo alipakwa mafuta ya thamani na Mariam, akina Yuda wakasema ni heri wangegawia masikini! Mungu awazidishie pale mlipotoa. Soi muumini huko lakini nimegushwa kitendo cha akina mama hawa
ReplyDeleteBiblia inasema ni heri kutoa kuliko kupokea, kama haujajua neno hili, utaona kina mama hawa kutoa kwao ni kama wamepoteza lakini kumbe ni kinyume kabisa.Neno la Mungu linasema mawazo yake sio mawazo yetu.Wewe unapowaza nipokee tu ili niwe navyo vingi. yeye ansema kwa kutoa ndipo utakapoweza kuwa na vingi.
ReplyDeleteni vizuti kuthamini watumishi wa Mungu kama walivyofanya kina mama hawa wa TAG iringa,maana watumishi wa Mungu wanawaongoza watu kutenda mema.
ReplyDeleteMasikini hao wanazidi kunyonywa kwa kivuli cha Imani. ingekuwa vema huo mchango wangeanzisha fungu la kusaidiana wao binafsi na kupata mitaji ya kuendesha biashara ya kuuza chips kuliko walivyofanya.
ReplyDeleteMungu awabariki sana akina mama wa Iringa. Kila aliyejitoa katika kumtumikia Mungu kwa njia hii, Mungu atamrejeshea mara elfu. Mbarikiwe, kazi ya Mungu inabebwa na akina mama.
ReplyDeletembarikiwe sana kinamama kwa kumjali anayewalisha kiroho na Bwana atawarejeshea zaidi. Wapendwa huo ni mfano wa kuigwa kujitoa kwa ajili ya wale wanaojitoa kwa ajili ya maisha yetu kiroho, kiakili na kimwili.
ReplyDelete