

BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni mwanzo mzuri sana SUGU, na kilicho bora ni kuwasiliana na waliokuchagua kwa kutumia kiswahili na sio kutumia lungha tofauti na ile uliyoitumia kuombea kura kwa wananchi wako. Kila la kheri...
ReplyDeleteSafi sana Mr Sugu. Wabunge wengine wote tunataka wawe na blogs ili tujua wanachofanya. Sio blah blah kwenye magazeti, redio na TV tu
ReplyDeleteSasa mbona kuna picha tu?hatutaki picha tu,tunataka kujua kuhusu mbeya sio kukuona tu kwenye picha, muige mwenzako www.januarymakamba.com jinsi ya kutengeneza mtandao uliotulia ambao una picha lakni pia unatoa maelezo huku jimbo lake hali ya huduma historia na uwekezaji,lakini viwango vinatofautiana umejitahidi angalau kufungua blogspot
ReplyDelete