Mbunge wa Mbeya mjini (CHADEMA) Mh. Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu akila kiapo cha ubunge bungeni. Tembelea libeneke lake
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ni mwanzo mzuri sana SUGU, na kilicho bora ni kuwasiliana na waliokuchagua kwa kutumia kiswahili na sio kutumia lungha tofauti na ile uliyoitumia kuombea kura kwa wananchi wako. Kila la kheri...

    ReplyDelete
  2. Safi sana Mr Sugu. Wabunge wengine wote tunataka wawe na blogs ili tujua wanachofanya. Sio blah blah kwenye magazeti, redio na TV tu

    ReplyDelete
  3. Sasa mbona kuna picha tu?hatutaki picha tu,tunataka kujua kuhusu mbeya sio kukuona tu kwenye picha, muige mwenzako www.januarymakamba.com jinsi ya kutengeneza mtandao uliotulia ambao una picha lakni pia unatoa maelezo huku jimbo lake hali ya huduma historia na uwekezaji,lakini viwango vinatofautiana umejitahidi angalau kufungua blogspot

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...