Ankal habari,

Pole kwa majukumu ya kuifahamisha jamii nini kinachoendelea katika dunia yetu,Naitwa Augustine Mgendi (Mwana wa Afrika) napenda kukufahamisha kuwa nami ni mmoja wa wana mtandao wa blog lengo likiwa ni kuifahamisha jamii nini kinachotokea sehemu huska. Napenda kuchukua nafasi hii kupitia blog yako maarufu nami kuitangaza blog yangu ya

www.mwanawaafrika.blogspot.com

Kazi njema Ankal

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...